Languages فارسی English اردو Azəri Bahasa Indonesia پښتو français ไทย Türkçe Hausa Kurdî Kiswahili فارسى درى РУС
Scroll down
HEKAYA ZA MAJONZI 1442

Hukumu ya kuhuisha majaalis za Imam Hussein (a.s) kipindi cha Corona 01

2020/08/26

Hukumu ya kuhuisha majaalis za Imam Hussein (a.s) kipindi cha Corona 01

Imekuwa ni ada kwa waislamu katika mwezi wa Muharram kufanya vikao vya kumkumbuka Aba Abdillah, Lakini mwaka huu kunalo jinamizi lililotuvamia.. Je bado tunapaswa kuweka vikao vya kumkumbuka au la? na ikiwa jibu ni ndio basi ni kwa namna gani tupaswa kuviweka vikao hivi? Ungana naye Sh Haydar Mshele akitupa uvumbuzi wa maswala haya katika msururu wa video hizi tatu.